Search

12 results for Shakila Nyerere :

  1. Rais Samia aahidi kuwapa kazi makandarasi wa ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan amewapigia simu wahandisi na makandarasi waliokuwa na kongamano la kumpongeza na kuahidi kuwapa miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Serikali.

  2. Jinsi ya kuwalinda watoto na janga la ulawiti nchini

    Ulawiti ni janga linaloendelea kuwakumba watoto nchini, hali ikiwa mbaya zaidi kwa wanafunzi baada ya watoto 30 kutajwa kuhusika kwenye kadhia hiyo hivi karibuni, huku wengine wakilawitiana wao...

  3. Wafanyakazi wa majumbani wacharuka

    Wafanyakazi wa majumbani wameomba mkataba namba 189 uridhiwe na Serikali, huku wakiwaomba waajiri wao kuwaheshimu, kwani wao ni zaidi ya walezi katika familia.

  4. Wafanyakazi wa ndani wataka kuheshimiwa

    Wafanyakazi wa majumbani wameomba mkataba namba 189 uridhiwe na Serikali huku wakiwaomba waajiri wao kuwaheshimu kwani wao ni zaidi ya walezi katika familia.

  5. NFRA yaanza ununuzi mazao

    Serikali imesema kuanzia kesho Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) itafungua vituo vyake na kujiandaa kuingia sokoni kwa ajili ya kununua mazao yatakayovunwa msimu huu.

  6. Vijana waaswa wasijiunge makundi ya uhalifu

    Shekh wa Mkoa wa Iringa Said Abri amewataka vijana kutafuta kazi halali badala ya kujiunga na makundi ya uhalifu yakiwamo ya ‘Panya Road’.

  7. Vijana wakataliwa kuoa vijiji jirani kisa shida ya maji

    Baadhi ya vijana katika Kijiji cha Muungano wilayani Chemba mkoani Dodoma, wamedai kuwa wanakabiliwa na changamoto ya kukataliwa kuoa katika vijiji vya jirani kutokana na shida ya maji...

  8. Diamond alivyozua mjadala, wimbo wake wachambuliwa

    Mjadala unaofukuta kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wimbo mpya wa msanii Diamond Platnumz umewagubika waliokuwamo na wasiokuwamo, kwani licha ya mashabiki wa muziki lakini hata wasioshabikia nao...

  9. Kilichoharibu kura laki nne hadharani

    Kutokujua kusoma, uelewa mdogo na ukosefu wa elimu ya mpiga kura, ni mambo ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kuharibika kura katika uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita.

  10. Chegeni adai kufanyiwa ‘figisufigisu’ Busega

    Matokeo ya kura za maoni CCM yameendelea kukumbwa na vituko katika maeneo mbalimbali nchini ikiwamo kutokubali matokeo na kuharibu nyaraka za kura kutokana na malalamiko ya kuwapo mizengwe na...

Page 1 of 2

Next